Mauzo Plus

Maswali Yanayoulizwa

Majibu ya haraka kuhusu usajili, malipo na jinsi Mauzo Plus inafanya kazi. Haukupata jibu? Tuandikie.

Mauzo Plus ni mfumo wa kusimamia biashara (POS) kwa maduka na migahawa -- mauzo, stoo, fedha, wafanyakazi na ripoti, vyote kwenye programu moja ya simu na dashibodi ya wavuti.
Ndiyo. Kila kifurushi kina jaribio la bure la siku 14, hauhitaji kadi ya mkopo kuanzisha akaunti.
Duka ni kwa biashara za rejareja na jumla -- mauzo ya haraka na stoo ya bidhaa. Mgahawa kinajumuisha menyu, meza na maagizo ya jikoni. Ni bei na vipengele tofauti, kwa hivyo unachagua kinachofaa biashara yako.
Ndiyo, unaweza kupanda daraja wakati wowote kutoka ndani ya programu bila kupoteza taarifa zako za biashara.
Unaweza kulipia ndani ya programu kupitia Google Play, au kwenye tovuti hii kwa pesa ya simu. Baada ya malipo, mfumo unaanzishwa papo hapo.
Ndiyo. Taarifa zako zimehifadhiwa kwa usalama na hazishirikishwi na mtu mwingine. Soma sera yetu ya faragha kwa maelezo kamili.
Ndiyo, kwa biashara kubwa zinazohitaji mfumo wanaomiliki kamili kwenye seva yao. Bei hutengenezwa kwa kila mradi -- tazama sehemu ya On-Premise kwenye ukurasa wa bei.
Tuandikie kupitia ukurasa wa Mawasiliano, au tumia sehemu ya Usaidizi ndani ya programu ukiwa umeingia.

Bado una swali?

Timu yetu iko tayari kukusaidia.

Wasiliana Nasi